DJ CHOKA AJICHORA TATOO YENYE JINA LA KAKA YAKE PROF.JAY

Photo: Much respect to my bro @Profesa_Jay na usiku huu ndio nimemaliza kuchora tattoo ya jina lake mwilini kwangu, nina sababu nyingi sana zakuchora tattoo hii coz i have nothing without YOU
HUYU NI DJ CHOKA NA NI DJ WA WASANII KIBAO BONGO ILA KWA SASA OFICIALLY NI DJ WA MSANII ROMA LAKINI MWANZO WA SAFARI YAKE NI KAKA YAKE WA TUMBO MOJA PROF.JAY NDO ALIEMUINGIZA NA KUONYESHA NJIA YA SANAA HII
LEO NI BONGE LA MTU NA NAFANYA VITU VINGI TU KWA AJILI YA SANAA
KUNA SABABU NYINGI ZILIZOMFANYA AJICHORE JINA LA KAKA YAKE!!!

No comments: