Don't Cry - Radio , Weasel en Wizkidayo- Offical Music HD Video

Kutoka kwenye record label ya Goodlyfe Records, the Kampala Uganda, duo Weasel and Radio wameachia video ya ngoma yao waliyomshirikisha Nigeria afro-hop starboy chairman Wizkid iitwayo "Don't Cry" itazame hapa

OFFICIAL VIDEO: MIRROR - KOLOKOLO


Chech out the new official video in town toka kwa  Mirror iitwayo "Kolokolo" iliyongozwa na Meja.
Enjoy....

NICKI MINAJ AMWAGA CHOZI WAKATI AKIZUNGUMZIA KUHUSU KUACHANA NA BOYFEE WAKE


Rapper Nick Minaj ameacha album yake mpya iitwayo "The Pink Print” ambapo kwa takribana wiki nzima amekuwa busy akii-promote, na issue kubwa kwenye promotion ya album yake amekuwa akizungumza ni kwamba album hiyo ni as her most personal work.
Sasa basi jana Nick alitembelea kituo cha readio cha  Hot 97 kwenye show ya  Angie Martinez kwa ajili ya kuizungumzia album yake hiyo, ambapo ndani yake pia aliongelea kuhusu breakup yake na boyfriend/fiancĂ© & hypeman waliodumu kwa miaka 14 aitwaye  Safaree “SB” Samuels.
Kikubwa kilichotokea wakati Nick anazungumzia kuhusiana na utengano huo na jamaake ni the way alipogusia kuumia kwa kuachana na SB ambapo rapper huyu wa YMCMB hakuficha kwamba hajui na wala hafahamu jinsi gani atakavyoweza ku-function on her own.
 “She doesn’t know how she’s going to function without him in her life” na baadaye Nicki alianza kutokwa na machozi.